Picha za IBN

Slider by IWEBIX

Radio Maarifa

Makala Mpya

Milfaholic Assessment

A lot of hearsay were buzzing around Milfaholic, such as those about the legitimacy of their feminine customers. However it is well worth you start with featuring considerable advantages and drawbacks of the web site, before sectioning the functions portion by part. Today once you know what you may anticipate from Milfaholic with respect to [&hellip

Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake ikisema hawana hatia.

Mahakama ya Rwanda yawaachilia Diane Rwigara na mama yake ikisema hawana hatia.

Mahakama mjini Kigali Rwanda imetangaza kuwa, mwanasiasa Diane Rwigara na mamake Adeline Rwigara hawana hatia na kwamba mashtaka dhidi yao hayana msingi wowote. Mahakama imesema kwamba imefanya uamizi huo kutokana na kwamba upande wa mashitaka haukutoa ushahidi wa kutosha. Wawili hao walishitakiwa kwa makosa ya kuchochea vurugu na mgawanyiko miongoni mwa wananchi wa Rwanda pamoja [&hellip

Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria.

Homa ya Manjano yaua watu 9 nchini Nigeria.

Mripuko wa homa ya manjano nchini Nigeria umesababisha vifo vya watu tisa katika jimbo la Edo kusini mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi. Kamishna wa Afya katika jimbo hilo, Dakta David Osifo amesema walioaga dunia katika mripuko huo ni vijana waliokuwa na umri wa kati ya miaka 14 na 20, na kwamba saba miongoni mwao [&hellip

Algeria yagundua ghala la makombora la makundi ya kigaidi.

Algeria yagundua ghala la makombora la makundi ya kigaidi.

Jeshi la Algeria limetangaza kuwa limegundua ghala lenye silaha na zana za vita yakiwemo makombora 11 lililokuwa likimilikiwa na magaidi kusini mwa nchi hiyo. Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo pia Alkhamisi ya jana liligundua maficho 11 ya magaidi katika maeneo ya kaskazini mwa nchi hiyo na kunasa silaha na [&hellip

Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura.

Burundi yaiagiza UN ifunge ofisi yake ya haki za binadamu Bujumbura.

Serikali ya Burundi imeliagiza Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lifunge ofisi yake iliyoko katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura katika kipindi cha miezi miwili ijayo. Msemaji wa Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, Ravina Shamdasani hii leo amewaambia waandishi wa habari mjini Geneva kuwa, ni kweli walipokea [&hellip

Bunge la Sudan launga mkono marekebisho ya sheria za uchaguzi, al Bashir kugombea tena.

Bunge la Sudan launga mkono marekebisho ya sheria za uchaguzi, al Bashir kugombea tena.

Kiongozi wa muda mrefu wa Sudan, Omar Hassan al Bashir anakaribia kupata idhini ya kugombea tena kiti cha rais wa nchi hiyo baada ya wawakilishi wa Bunge la nchi hiyo kuunga mkono pendekezo la kufanyika marekebisho ya sheria za uchaguzi. Marekebisho hayo yatakayoondoa ukomo wa muda wa urais yatamuwezesha Omar al Bashiri kugombea kiti cha [&hellip

Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo kingine cha maisha jela.

Kiongozi wa Ikhwanul Muslimin ya Misri ahukumiwa kifungo kingine cha maisha jela.

Katika mwendelezo wa utoaji hukumu za adhabu ya kifungo cha maisha jela kwa kiongozi wa harakati ya Ikhwanul Muslimin, mahakama ya Misri imemhukumu Muhammad Badie na washtakiwa wengine watano hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi nyingine iliyokuwa ikiwakabili. Mahakama ya Jinai ya mjini Cairo jana ilitoa hukumu ya kesi ya mwaka 2013 inayojulikana [&hellip

Kiu na njaa yaua wahajiri 15 ndani ya boti, pwani ya Libya.

Kiu na njaa yaua wahajiri 15 ndani ya boti, pwani ya Libya.

Maiti 15 za wahajiri zimepatikana zikiwa ndani ya boti katika pwani ya Libya, katika bahari ya Mediterania. Raia wa Misri ambaye ni katika manusura wa ajali hiyo amesema leo Jumanne kuwa: “Tulikuwa wahajiri 25 ndani ya boti hiyo. Tulianzia safari mjini Sabratah, magharibi mwa Libya. Tulikuwa baharini kwa siku 12 bila chakula wala maji. Wenzetu [&hellip

Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina.

Hamas yaiomba Afrika Kusini kusadia mapambano ya ukombozi ya Wapalestina.

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imeiomba Afrika Kusini izidishe uungaji mkono na misaada yake kwa taifa la Palestina katika mapambano yake ya ukombozi dhidi ya utawala haramu wa Israel. Wito huo umetolewa na ujumbe wa Hamas ulioko nchini Afrika Kusini kwa shabaha ya kupata uungaji mkono zaidi wa Pretoria kwa mapambano ya [&hellip

HRW: Askari usalama Msumbiji wanakiuka haki za binadamu.

HRW: Askari usalama Msumbiji wanakiuka haki za binadamu.

Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limevituhumu vyombo vya usalama vya Msumbiji kuwa vinakiuka haki za binadamu katika operesheni zake za kupambana na ugaidi kaskazini mwa nchi. Dewa Mavhinga, Mkurugenzi wa Human Rights Watch Kusini mwa Afrika amesema maafisa usalama wa Msumbiji wamewaua, kuwakamata na kuwatesa watu wanaoshukiwa kuwa wanachama wa [&hellip